• HABARI MPYA

  Tuesday, October 12, 2021

  SIMBA SC KWENDA BOSTSWANA KESHO USIKU


  KIKOSI cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka usiku wa kesho kwenda Gaborone nchini Botswana kumenyana na wenyeji, Jwaneng Galaxy FC katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa wa Gaborone Jumapili Saa 10:00 jioni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KWENDA BOSTSWANA KESHO USIKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top