• HABARI MPYA

  Thursday, October 28, 2021

  WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA


  WENYEJI, West Ham United wametinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya kuitoa Manchester City kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-0 Uwanja wa London Jijiji London.
  Waliofunga penalti za West Ham ni Mark Noble, Jarrod Bowen, Craig Dawson, Aaron Cresswell na Said Benrahma, wakati za Man City zilifungwa na João Cancelo, Gabriel Jesus na Jack Grealish baada ya Phil Foden kikosi ya kwanza.
  Mara ya mwisho Manchester City  kutolewa kwenye Carabao Cup ilikuwa ilikuwa Oktoba 26, 2016 walipofungwa na mahasimu wao, Man United.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top