• HABARI MPYA

  Thursday, October 07, 2021

  RASMI KMC NA YANGA NI SONGEA OKTOBA 19


  BODI ya Ligi Tanzania (TPLB), imeridhia ombi la klabu ya KMC Kinondoni kutaka mchezo wake wa Ligi Kuu ya Bara dhidi ya vigogo, Yanga SC uchezwe Uwanja wa Maji Maji mjini Songea Oktoba 19.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI KMC NA YANGA NI SONGEA OKTOBA 19 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top