• HABARI MPYA

  Wednesday, October 27, 2021

  RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya viwanja kwa timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' kwa kutwaa ubingwa wa COSAFA hivi karibuni nchini Afrika Kusini.
  Rais Samia ametoa zawadi hiyo mchana wa leo alipojumuika na wachezaji wa Twiga Stars kwa chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top