• HABARI MPYA

  Monday, October 11, 2021

  YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA


  BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Fiston Mayele Kalala dakika ya 41 jana lilitosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top