• HABARI MPYA

  Saturday, October 16, 2021

  SIMBA SC WALIVYOWASILI GABORONE KUIVAA GALAXY


  WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Gaborone nchini Botswana tayari kwa mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy Jumapili.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOWASILI GABORONE KUIVAA GALAXY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top