MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Azam FC uliokuwa ufanyike Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Oktoba 30 umerejeshwa Dar es Salaam.
Taarifa ya Yanga SC jioni ya leo imesema kwamba mechi hiyo ya mzunguko wa kwanza wa ligi itachezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam siku hiyo hiyo Jumamosi ya Oktoba 30.
0 comments:
Post a Comment