• HABARI MPYA

  Friday, October 15, 2021

  SAKHO, MUGALU WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA


  KIUNGO Msenegal, Pape Ousmane Sakho na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mutshimba Mugalu hawamo kwenye orodha ya wachezaji 23 wa Simba wanaosafiri kwenda Botswana.
  Simba SC inakwenda Botswana kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy Jumapili Jijini Gaborone.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAKHO, MUGALU WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top