• HABARI MPYA

  Sunday, October 03, 2021

  LIVERPOOL SARE 2-2 NA MAN CITY ANFIELD


  WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool leo yamefungwa na washambuliaji wake tegemeo wa Kiafrika, Msenegal Sadio Mane dakika ya 59 na Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 76.
  Na ya Man City yamewekwa nyavuni na viungo Phil Foden wa England, dakika ya 69 na Mbelgiji, Kelvin De Bruyne dakika ya 81 na timu zote a inafikisha pointi 15 baada ya mechi saba, zikiwa nyuma ya Chelsea inayoongoza kwa pointi zake 16 za mechi saba pia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL SARE 2-2 NA MAN CITY ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top