NAHODHA wa timu ya taifa ya soka ya wanawake Tanzania, Twiga Stars, Amina Bilal akiwa ameshika Kombe la ubingwa wa michuano ya COSAFA baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam.
Twiga iliwasili jana usiku na kupata mapokezi mazuri baada ya kutwaa ubingwa wa COSAFA kufuatia kuwachapa Malawi 1-0, bao pekee la Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ dakika ya 64 juzi Uwanja wa Nelson Mandela Bay Jijini Port Elizabeth.
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment