• HABARI MPYA

  Saturday, October 30, 2021

  ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER


  MABAO ya Gabriel Magalhães dakika ya tano na  Emile Smith Rowe dakika ya 18 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power.
  Arsenal inafikisha pointi 17 na kupanda nafasi ya tano, ikiizidi pointi tatu Leicester baada ya wote kucheza mechi 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top