• HABARI MPYA

  Monday, October 18, 2021

  DK MSOLLA, MANGUNGU KUWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI


  WENYEKITI wa klabu kongwe nchini, Murtaza Ally Mangungu wa Simba SC na Dk Mshindo Mbette Msolla wamejitokeza kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).
  Wawili hao ni kati ya wagombea watatu tu waliopitishwa katika nafasi ya Uenyekiti pamoja ma Mwenyekiti wa sasa, Steven Jarvis Mnguto wa Coastal Union ya Tanga.
  Uchaguzi wa TPLB umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi ujao baada ya usaili utakaofanyika kati ya Novemba 26 na 28, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DK MSOLLA, MANGUNGU KUWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top