• HABARI MPYA

  Tuesday, October 26, 2021

  SIMBA YAMFUKUZA GOMES NA WASAIDIZI WAKE


  KLABU ya Simba imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake, Didier Gomes Da Rosa siku mbili baada ya timu kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kuchapwa 3-1 nyumbani na Hwaneng Galaxy Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
  Pamoja na Gomes, wameondolewa pia kocha wa makipa, Mbrazil Milton Nienov na ko cha wa viungo, Mtunisia Adel Zrane – wanabaki Mnyarwanda Hitimana Thierry na Suleiman Matola.

  REKODI YA DIDIER GOMES DA ROSA SIMBA SC
  Simba SC 4-1 Al Hilal (Simba Super Cup)
  Simba SC 0-0 TP Mazembe (Simba Super Cup)
  Simba SC 2-1 Dodoma Jiji FC (Ligi Kuu Dodoma)
  Simba SC 2-2 Azam FC  (Ligi Kuu Mkapa)
  Simba SC 1-0 AS Vita (Ligi ya Mabingwa Afrika – Kinshasa)
  Simba SC 1-0 Biashara United (Ligi Kuu Musoma)
  Simba SC 1-0 Al Ahly (Ligi ya Mabingwa Afrika – Mkapa)
  Simba SC 3-0 African Lyon (Kombe la TFF – Mkapa)
  Simba SC 3-0 JKT Tanzania (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 0-0 El Merreikh (Ligi ya Mabingwa Afrika Sudan)
  Simba SC 1-1 Tanzania Prisons (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 3-0 El Merreikh (Ligi ya Mabingwa – Mkapa)
  Simba SC 4-1 AS Vita Club (Ligi ya Mabingwa – Mkapa)
  Simba SC 0-1 Al Ahly (Ligi ya Mabingwa – Cairo)
  Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 1-0 Mwadui FC (Ligi Kuu – Kambarage)
  Simba SC 2-0 Kagera Sugar (Ligi Kuu – Kaitaba)
  Simba SC 1-0 Gwambina FC (Ligi Kuu – Gwambina)
  Simba SC 3-1 Dodoma Jiji FC (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 2-1 Kagera Sugar (Kombe la TFF – Mkapa)
  Simba SC 0-4 Kaizer Chiefs (Ligi ya Mabingwa – Johannesburg)
  Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs (Ligi ya Mabingwa – Mkapa)
  Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC (Kombe la TFF – Mkapa)
  Simba SC 3-1 Namungo FC (Ligi Kuu – Majaliwa, Ruangwa)
  Simba SC 3-0 Ruvu Shooting FC (Ligi Kuu – Kirumba, Mwanza)
  Simba SC 1-0 Polisi Tanzania (Ligi Kuu – Kirumba, Mwanza)
  Simba SC 4-1 Mbeya City (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 1-0 Azam FC (Kombe la TFF – Songea)
  Simba SC 0-1 Yanga SC (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 2-0 KMC (Ligi Kuu – Mkapa)
  Simba SC 2-0 Coastal Union (Ligi Kuu – Mkapa – rasmi mabingwa)
  Simba SC 1-1 Azam FC (Ligi Kuu – Chamazi –mabingwa tayari)
  Simba SC 4-0 Namungo FC (Ligi Kuu – Mkapa –mabingwa tayari)
  Simba SC 1-0 Yanga SC (Fainali Kombe la TFF – Lake Tanganyika, Kigoma)
  Simba SC 2-2 FAR Rabat (Kiraiki Rabat)
  Simba SC 1-1 Khourigba (Kirafiki Rabat)
  Simba SC 1-0 Faountain Gate (Kirafiki Arusha)
  Simba SC 1-1 Coastal Union (Kirafiki Arusha) 
  Simba SC 2-1 Aigle Noir (Kirafiki Arusha) 
  Simba SC 0-1 TP Mazembe (Kirafiki Simba Day Mkapa) 
  Simba SC 0-1 Yanga SC (Ngao ya Jamii Mkapa) 
  Simba SC 0-0 Biashara United (Ligi Kuu Musoma) 
  Simba SC 1-0 Dodoma Jiji FC (Ligi Kuu Jamhuri) 
  Simba SC 2-0 Jwaneng Galaxy (Ligi ya Mabingwa Gaborone)
  Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy (Ligi ya Mabingwa Mkapa) 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAMFUKUZA GOMES NA WASAIDIZI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top