• HABARI MPYA

  Tuesday, October 12, 2021

  BIASHARA KUWAVAA WALIBYA IJUMAA DAR


  WACHEZAJI wa Biashara United wakiwa mazoezini Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kwanza Raundi ya Pili ya mchujo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya  Al Ahli Tripoli ya Libya Ijumaa Saa 9:00 Alasiri Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIASHARA KUWAVAA WALIBYA IJUMAA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top