AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA
Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Aisha Masaka jana alichaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Afrika Kusini ya michuano ya COSAFA inayoendelea Nelson Mandela Bay
Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 6-1, Aisha alifunga mabao matano
0 comments:
Post a Comment