• HABARI MPYA

    Thursday, October 01, 2020

    REAL MADRID YAICHAPA VALLADOLID 1-0 BAO PEKEE LA VINICIUS


    Mshambuliaji Vinicius Junior (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Marco Asensio baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 65 ikiwalaza 1-0 Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA VALLADOLID 1-0 BAO PEKEE LA VINICIUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top