• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 30, 2020

  MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA


  WINGA Mghana wa Simba SC ataukosa mchezo dhidi ya mahasimu na timu yake ya zamani, Yanga SC Novemba 7 baada ya kufungiwa mechi tatu kwa kumpiga ngumi beki wa Ruvu Shooting, Juma Said Nyosso.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top