• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 30, 2020

  ARSENAL YAWACHAPA DUNDALK 3-0 EMIRATES EUROPA LEAGUE


  Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 42, kabla ya Joe Willock kufunga la pili dakika ya 44 na Nicolas Pépé la tatu dakika ya 46 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Dundalk kwenye mchezo wa Kundi B  UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAWACHAPA DUNDALK 3-0 EMIRATES EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top