• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 23, 2020

  YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA

   

  KLABU ya Yanga imemsimamisha uanachama Bahati Mwakalinga 'Mama Manji' kwa tuhuma za kumpakazia maneno ya uongo, Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla na kumtolea maneno ya kuudhi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top