• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 23, 2020

  ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 UGENINI EUROPA LEAGUE


  Wachezaji wa Arsenal wakifurahia baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Rapid Vienna kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi B Europa League usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Vienna nchini Austria. Taxiarchis Fountas alianza kuifungia Rapid Vienna dakika ya 51 kabla ya David Luiz kuisawazishia Arsenal dakika ya 70 na Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang kufunga la ushindi dakika ya 74
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top