• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 17, 2020

  MAREFA WAIKATALIA BAO LA USHINDI LIVERPOOL SARE 2-2 NA EVERTON


  Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson akikatiza mbele ya marefa kwa hasira baada ya waamuzi hao kukataa bao lake la dakika ya mwisho wakidai Sadio Mane alikuwa ameotea timu hiyo ikilazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Everton yamefungwa na Michael Keane dakika ya 19 na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 81, wakati ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya tatu na Mohamed Salah dakika ya 72
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAREFA WAIKATALIA BAO LA USHINDI LIVERPOOL SARE 2-2 NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top