• HABARI MPYA

  Friday, October 16, 2020

  TIMU MBILI ZA WANAWAKE ZA TAIFA ZAALIKWA KWENYE MICHUANO YA COSAFA NCHINI AFRIKA KUSINI NOVEMBA

   

  TIMU mbili za taifa za Tanzania zitashiriki michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini (COSAFA) itakayofanyika Afrika Kusini kuanzia Novemba 3 hadi 14. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIMU MBILI ZA WANAWAKE ZA TAIFA ZAALIKWA KWENYE MICHUANO YA COSAFA NCHINI AFRIKA KUSINI NOVEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top