• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 08, 2020

  BODI YA LIGI YATOA RATIBA MPYA YA LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZIA RAUNDI YA SITA HADI YA NANE

  RATIBA ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/2021 kwa mechi za raundi ya SITA hadi ya NANE.
  Mchezo wa raundi ya saba kati Yanga SC na Simba SC utachezwa Novemba 7, 2020.
  Mchezo Na. 70 kati ya KMC FC na Yanga SC utachezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kuanzia saa 10:00 alasiri kama wenyeji KMC walivyopendekeza.
  Kanuni inaziruhusu timu kuchagua mechi mbili ambazo watacheza kwenye uwanja wa chaguo lao (tofauti na uwanja wa nyumbani. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YATOA RATIBA MPYA YA LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZIA RAUNDI YA SITA HADI YA NANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top