• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 06, 2020

  ULIMWENGU AWASILI DAR NA KUJIUNGA NA TAIFA STARS KWA MAANDALIZI YA MCHEZO NA BURUNDI JUMAPILI


  Mshambuliaji wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Emmanuel Ulimwengu baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubimbashi kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu yataifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa kumenyana na Burund katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam 

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ULIMWENGU AWASILI DAR NA KUJIUNGA NA TAIFA STARS KWA MAANDALIZI YA MCHEZO NA BURUNDI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top