• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 06, 2020

  SBL YASAINI MKATABA MPYA WA SH BILIONI 3 KUENDELEA KUIDHAMINI TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU ZAIDI


  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Premium Lager (SBL) leo imeingia mkatba wenye thamani ya Sh. Bilioni 3 za Tanzania na kusaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa kuidhamini timu ya taifa, Taifa Stars kwa kipindi kingine cha miaka mitatu. Hizi ni habari njema kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi Jumapili Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SBL YASAINI MKATABA MPYA WA SH BILIONI 3 KUENDELEA KUIDHAMINI TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top