• HABARI MPYA

  Friday, October 09, 2020

  WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI

  Washambuliaji wakongwe wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kulia) na Nahodha, Mbwana Samatta wakiwa mazoezi ni kujiandaa kuivaa Burundi keshokutwa katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

  Beki wa Taifa Stars, Bakari Nondo Mwamnyeto akifanya mazoezi ya utimamu wa mwili kuelekea mechi na Burundi Jumapili


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top