• HABARI MPYA

  Friday, October 23, 2020

  AZAM FC YAENDELEZA UBABE, YAICHAPA KVZ YA ZANZIBAR 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI


  Beki Oscar Maasai akiugulia maumivu baada ya kuifungia Azam FC bao pekee dakika ya tano katika ushindi wa 1-0 dhidi ya KVZ ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Maasai hakuweza kuendelea na mchezo huo baada ya kupasuka juu ya shavu na kuumia mguu wake wa kulia na nafasi yake ikachukuliwa na Laurent Alfred 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAENDELEZA UBABE, YAICHAPA KVZ YA ZANZIBAR 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top