• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 28, 2020

  REAL CHUPUCHUPU KUPIGWA UJERUMANI, YATOA SARE 2-2


  Casemiro akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Borussia Moenchengladbach kwenye mchezo wa Kundi B usiku wa jana Uwanja wa im BORUSSIA-PARK. Bao lingine la Real Madrid lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 87, baada ya Borussia Moenchengladbach kutangulia kwa mabao ya Marcus Thuram, mtoto wa mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Lilian Thuram dakika ya 33 na 58
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL CHUPUCHUPU KUPIGWA UJERUMANI, YATOA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top