• HABARI MPYA

  Friday, October 23, 2020

  BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU

   

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba kufuatia Uwanja wa Taifa kufungwa, mechi zote zilizokuwa zichezwe kwenye Uwanja huo zitachezwa Uwanja jirani, Uhuru Jijini Dar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top