• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 12, 2020

  NADAL AMPIGA DJOKOVIC NA KUTWAA TAJI LA FRENCH OPEN


  MSPANIOLA Rafael Nadal ametwaa taji la 20 la Grand Slam (mchezaji mmoja dhidi ya mmoja) katika Tenisi baada ya kumfunga Novak Djokovic seti 3-0 (6-0, 6-2 na 7-5) Uwanja wa Philippe Chatrier Jijini Paris, Ufaransa. 
  Ushindi huo wa 13 katika michezo 13 ya fainali ya French Open, unamfanya Nadal afikie rekodi ya Roger Federer ya kutwaa mataji mengi zaidi (20) ya Grand Slam
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NADAL AMPIGA DJOKOVIC NA KUTWAA TAJI LA FRENCH OPEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top