• HABARI MPYA

  Friday, October 23, 2020

  KOCHA JULIO AIBUKA TENA, AITA WACHEZAJI 52 KUUNDA KIKOSI CHA AWALI CHA NGORONGORO HEROES

   

  KOCHA Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' ameita wachezaji 52 katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan na mashindano ya CECAFA.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA JULIO AIBUKA TENA, AITA WACHEZAJI 52 KUUNDA KIKOSI CHA AWALI CHA NGORONGORO HEROES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top