• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 24, 2020

  CHELSEA WANYIMWA PENALTI WAKITOA SULUHU NA MAN UNITED


  Harry Maguire wa Manchester United akimdhibiti Cesar Azpilicueta wa Chelsea kwenye eneo la penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. The Blues walilalamika kunyimwa penalti kwa tukio hilo
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA WANYIMWA PENALTI WAKITOA SULUHU NA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top