• HABARI MPYA

  Thursday, October 29, 2020

  CHELSEA YAWACHAPA KRASNODAR 4-0 KULE KULE KWAO URUSI


  Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Krasnodar kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya mabao ya Callum Hudson-Odoi dakika ya 37, Timo Werner dakika ya 76 kwa penalti, Hakim Ziyech dakika ya 79 na Christian Pulisic dakika ya 90 usiku wa jana Uwanja wa FK Krasnodar, Jijini Krasnodar, Urusi
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAWACHAPA KRASNODAR 4-0 KULE KULE KWAO URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top