• HABARI MPYA

    Saturday, October 03, 2020

    SIMBA SC WALIVYOIFUATA JKT TANZANIA KWA BASI LEO KWA AJILI YA MCHEZO WA LIGI KUU KESHO DODOMA

    Beki wa Simba SC, Gardel Michael akifurahia mbele ya basi la klabu mapema leo wakati wa safari ya kwenda Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania kesho Uwanja wa Jamhuri 

    Mshambulaji Meddie Kagere akifurahia wakati wa safari ya kwenda Dodoma kwa basi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania kesho

    Kiungo Clatous Chama akifurahia wakati wa safari ya kwenda Dodoma kwa basi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania kesho

    Beki Shomari Kapombe akifurahia wakati wa safari ya kwenda Dodoma kwa basi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania kesho
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOIFUATA JKT TANZANIA KWA BASI LEO KWA AJILI YA MCHEZO WA LIGI KUU KESHO DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top