• HABARI MPYA

    Monday, October 19, 2020

    BARKLEY AFUNGA DAKIKA YA MWISHO VILLA YAICHAPA LEICESTER 1-0


    Ross Barkley akishangilia baada ya kuifungia Aston Villa bao pekee dakika ya mwisho ikiwalaza wenyeji, Leicester City 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARKLEY AFUNGA DAKIKA YA MWISHO VILLA YAICHAPA LEICESTER 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top