• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 28, 2020

  BAYERN YAENDELEZA UBABE ULAYA, YAICHAPA LOKOMOTIV 2-1 MOSCOW


  Kiungo Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la ushindi dakika ya 79 ikiwalaza wenyeji, Lokomotiv Moscow 2-1 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Arena. Bao la kwanza la Bayern Munich lilifungwa na Leon Goretzka dakika ya 13 kabla ya Anton Miranchuk kuisawazishia Lokomotiv Moscow
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN YAENDELEZA UBABE ULAYA, YAICHAPA LOKOMOTIV 2-1 MOSCOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top