• HABARI MPYA

  Saturday, October 17, 2020

  CHELSEA WACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO, SARE 3-3 NA SOUTHAMPTON


  Jan Vestegaard akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei katika sare ya 3-3 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Southampton yamefungwa na Danny Ings dakika ya 43 na Che Adams dakika ya 57, wakati ya Chelsea yamefungwa na Timo Werner dakika ya 15 na 28 na Kai Havertz dakika ya 59
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA WACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO, SARE 3-3 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top