• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 24, 2020

  REAL MADRID YAIPIGA BARCELONA 3-1 PALE PALE CAMP NOU


  Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Barcelona kwenye mchezo wa La Liga leo mchana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Federico Valverde dakika ya tano na Luka Modric dakika ya 90, wakati bao pekee la Barcelona limefungwa na Ansu Fati dakika ya nane katika mchezo ambao Nahodha wao, Lionel Messi alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 90 na ushei 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAIPIGA BARCELONA 3-1 PALE PALE CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top