• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 09, 2020

  AZAM FC KUMENYANA NA MAFUNZO YA ZANZIBAR KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JUMAMOSI CHAMAZI


  VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Azam FC, wanatarajia kukipiga dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumamosi saa 1.00 usiku.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC KUMENYANA NA MAFUNZO YA ZANZIBAR KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JUMAMOSI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top