• HABARI MPYA

    Thursday, October 29, 2020

    MESSI APIGA LA PILI BARCELONA YAICHAPA JUVENTUS 2-0 TORINO


    Wachezaji wa Barcelona wakimpongeza Nahodha wao, Lionel Messi baada ya kufunga bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia Ousmane Dembele kufunga la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Allianz Jijini Turin
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI APIGA LA PILI BARCELONA YAICHAPA JUVENTUS 2-0 TORINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top