• HABARI MPYA

  Saturday, October 17, 2020

  IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YAICHAPA INTER 2-1


  Mshambuliaji mkongwe, Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia AC Milan mabao mawili dakika ya 13 na 16 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Inter Milan ambayo bao lao limefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 29 leo Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YAICHAPA INTER 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top