• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 08, 2020

  NYOTA WANAOCHEZA MOROCCO SIMON MSUVA NA KIBABAGE WAWASILI KUJIUNGA NA TAIFA STARS


  Wachezaji wa Difaa Hassan El-Jadidi, beki Nickson Kibabage na kiungo mshambuliaji Simon Msuva wakitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuwasili kutoka Morocco kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania tayari kwa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa  dhidi ya Burundi Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WANAOCHEZA MOROCCO SIMON MSUVA NA KIBABAGE WAWASILI KUJIUNGA NA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top