• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 09, 2020

  MESSI APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YASHINDA 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA


  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifngia Argentina bao pekee dakika ya 13 kwa penalti baada ya  Lucas Ocamps kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ecuador kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 Qatar kwa Amerika ya Kusini. Ushindi huo unaendeleza rekodi ya Argentina kutofungwa katika mechi nane chini ya kocha Lionel Scaloni 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YASHINDA 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top