• HABARI MPYA

  Friday, October 30, 2020

  KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA

  Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Mama Maria Nyerere, mjane wa baba taifa, marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo kijijini Mwitongo, Butiama mkoani Mara.


  Wachezaji na viongozi wa Yanga SC wakiwa mbele ya kaburi la marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo kijijini Mwitongo, Butiama mkoani Mara.

  Wachezaji wa Yanga SC wakipewa maelezo kuhusu eneo la Mwitongo, Butiama mkoani Mara

  Wachezaji wa Yanga SC wakiwa katika picha ya pamoja na mjane wa marehemu Mwalimu Nyerere, Mama Maria Nyerere leo Butiama

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top