• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 11, 2020

  UJERUMANI YAICHAPA UKRAINE 2-1 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA KIEV


  Antonio Ruduiger (kushoto) akimpongeza Matthias Ginter baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 20 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ukraine kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki Jijini Kiev. Bao lingine la kikosi cha Joachim Low lilifungwa na Leon Goretzka dakika ya 49, kabla ya Ruslan Malinovskyi kuifungia Ukraine kwa penalti dakika ya 76 kufuatia Niklas Sule kumchezea rafu Roman Yaremchuk
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAICHAPA UKRAINE 2-1 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA KIEV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top