• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 21, 2020

  MAN UNITED YAIPIGA PSG 2-1 PALE PALE PARIS LIGI YA MABINGWA


  Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 87 akimalizia pasi ya Paul Pogba ikiwalaza wenyeji, Paris Saint-Germain 2-1 kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris. Bao la kwanza la Man United lilifungwa na Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 23, wakati la PSG Anthony Martial alijifunga dakika ya 55 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAIPIGA PSG 2-1 PALE PALE PARIS LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top