• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 04, 2020

  VINICIUS NA BENZEMA WAFUNGIA REAL MADRID YAICHAPA LEVANTE 2-0


  Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 16 kabla ya Karim Benzema kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa 
  Ceramica leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VINICIUS NA BENZEMA WAFUNGIA REAL MADRID YAICHAPA LEVANTE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top