• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 22, 2020

  AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY WAICHAPA FC PORTO 3-1


  Wachezaji wa Manchester City wakishangilia ushindi wa 3-1 dhidi ya FC Porto kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao ya Manchester City yalifungwa na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 20, Ilkay Gundogan mpira wa adhabu dakika ya 65 na Ferran Torres dakika ya 73, wakati la Porto lilifungwa na 
  Luis Fernando Díaz dakika ya 14'  PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY WAICHAPA FC PORTO 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top