• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 16, 2020

  SIMBA SC KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA MLANDEGE SC KESHO KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX

   


  MABINGWA wa Ligi Kuu kwa miaka mitatu mfululizo, Simba SC kesho watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ya Zanzibar kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA MLANDEGE SC KESHO KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top