• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 22, 2020

  REAL YACHAPWA 3-2 NA SHAKHTAR DONETSK PALE PALE MADRID


  Kipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Raphael Varane kujifunga dakika ya 33 katika ushindi wa 3-2 wa Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid. Mabao mengine ya Shakhtar Donetsk ya Uturuki yalifungwa na Mateus Cardoso Lemos Martins 'Tete' dakika ya 29 na Manor Solomon dakika ya 42, wakati ya Real Madrid yalifungwa na Luka Modric dakika ya 54 na Vinicius Junior dakika ya 59 kabla ya Federico Valverde kufunga dakika ya mwisho ambalo hata hivyo lilikataliwa
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL YACHAPWA 3-2 NA SHAKHTAR DONETSK PALE PALE MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top